06:48Mabadiliko ya tabia nchi:Kuichagiza dunia
From the creator
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres atoa wito wa kuchua hatua ili kukabiliana na changamoto ya kimataifa ya mabadiliko ya tabia nchi wakati akihutubia wanafunzi , viongozi wa biashara na wanazuoni kwenye chuo Kikuu cha New York.
Published 2017-05-31 · Watch on YouTube ↗
Availability and playback restrictions are controlled by the original channel.





