28:01Getrude Clement akihutubia Baraza Kuu la UM
From the creator
Msichana Getrude Clement kutoka Mwanza Tanzania akihutubia kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa siku ya kutia saini mkataba wa Paris wa mabadiliko ya tabianchi, Aprili 22, 2016. Bi. Clement amewakilisha vijana wote ulimwenguni.
Published 2016-04-26 · Watch on YouTube ↗
Availability and playback restrictions are controlled by the original channel.





