1:15:24Ban Ki-moon na wito wa kuchukua hatua
From the creator
United Nations - Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-moon amekuwa akipazia sauti mabadiliko ya tabianchi tangu ashike wadhifa huo mwaka 2007. Video hii inaangazia baadhi ya juhudi hizo na wito wake wa kutaka hatua zaidi kuelekea mkutano wa COP21 wa mabadiliko ya tabianchi. COP21 http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/category/features/cop21/
Published 2015-11-27 · Watch on YouTube ↗
Availability and playback restrictions are controlled by the original channel.





